Mshambuliaji wa Monaco Kylian Mbappe, 18, ametoa sharti la kuwa mchezaji anayelipwa zaidi- nyuma tu ya Cristiano Ronaldo- iwapo Real Madrid wanataka kumsajjili (Diario Gol).
Juventus wamempa beki wao Alex Sandro, 26, mshahara wa pauni 84,000 kwa wiki ili kumshawishi asiondoke kwenda Chelsea ambao wapo tayari kutoa pauni milioni 61 kumnunua (London Evening Standard).
Kiungo wa Arsenal Santi Carzola, 32, ambaye hajacheza tangu Oktoba 2016, huenda akakosa msimu ujao wote wa 2017/18 kutokana na kuwa majeruhi bado (Daily Express).
Beki wa Arsenal Hector Bellerin, 22, ameiambia klabu yake kuwa anataka kuondoka, lakini meneja Arsene Wenger amekataa ombi lake la kutaka kuondoka. Barcelona wanataka kumsajili beki huyo kwa pauni milioni 35 (Daily Express).
Kiukweli kifo chake kimenigusa na kwa kutambua mchango wake kwenye thread hii leo hakutakuwa na segment ninazopost wadau maana hata akili hazijatulia
Kila nafsi itaonja mauti
..........