Aunt....sio ndege lilikuwa ni kombora H 10 na ni kwelii lilishindwa kuruka kitu ambacho kilibezwa sana hasa nchi zinazomfatilia huyu jamaa ikiwemo ya Trump ...ni kawaida kutest mambo kabla ya kuuingia kwenye battle ...ila soon liliruka kama kawaida na baada ya wiki mbili nakumbuka ulikuwa mkutano wa G8 jamaa akayarusha ...
Jana ndo ilikuwa komesha make ata hilo la jana mwanzoni liligoma kuruka ...ila hili lina impacts kubwa ndo maana mpaka state wameamua kukutana ...japo mzee mapanki aliwafanyia suprise kwenye kumbukumbu za uhuru wa Marekani ...