Makapuku Forum

Amen ,powerful
 
Huyo ndo mapanki
Roho mbaya alianza wakati akinyonya
Ujasiri alianza wakati akitambaa
Mbwembwe alianza alipojua kutembea
Ubabe alijifunzia Ikulu babaye akiwa rahisi
Na mzuka umempanda zaidi Trump alipoingia White House
Mapanki endelea tu
.....


Inaelekea anakukosha kweli huyu

Baba yake alikuwa "rais"sio "rahisi"
Midadi imekupandaa mwenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…