Makapuku Forum

Makapuku Forum

fbb77e0822fba46ec0fe8db59d962e4e.jpg
 
Katika dondoo za bbc. ..

Marekani yathibitisha kuwa makombora yaliyofanyiwa majaribio na Korea Kaskazini ni ya masafa marefu.

Viongozi wa nchi za Afrika wamaliza mkutano wao na kuazimia kukabiliana na matatizo yanayoliathiri.

Ripoti mpya ya shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa yaonesha kuwa watu milioni 12 Magharibi na Afrika ya kati wanakimbilia uhamishoni kila mwaka, nusu yao ikiwa ni watoto.

Duka kubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki, Nakumatt, linakumbwa na misukosuko ya kifedha kusimamisha mchakato wa kuajiri wafanyakazi wapya, huku likitafuta jinsi ya kujinasua na upungufu wa fedha.
 
Asante kwa dondoo za BBC..
 
MUNGU BABA MWENYEZI Asante kutuamsha salama,tutakase kwa damu takatifu ya mwanao,tuongoze,tufufundishe ,tusimamie tupe moyo safi tutende mema,tufanye kazi kwa bidii,tutengeze amani kwa gharama yoyote,tuchukuliane kwa upendo na tuwasamehe wanaotukosea kama wewe unavyotusamehe,tuepushe na hatari zote za mwili na roho.

Asante maana utatenda sawa na mapenzi yako,mapenzi yako yatimizwe katika jina la Yesu,Amen SIKU NJEMA MBARIKIWE
Amen, Asante mama mchungaji kwa neno Ubarikiwe sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom