Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Nitakununia wewe nitaweza!? Nitanuna mwisho wa siku utanitumia maua siku itaisha poa.

Nitakununia wewe nitaweza!? Nitanuna mwisho wa siku utanitumia maua siku itaisha poa.

huyu mtoto kibongo bongo na stress zetu angekula kichapo hapo.. baada ya hapo ni kukojoa na kulala![]()
Tuvumilie upuuzi wa wanetu
![]()
![]()
![]()
....
Asante mpendwasalamu zako nimezipokea mpenzi, naona umebadili avatar, hongera.
haha! punguza wenge mdau.. au ongeza maujanja mambo yatakuwa poaNitakununia wewe nitaweza!? Nitanuna mwisho wa siku utanitumia maua siku itaisha poa.
Hvyo hvyo bwana unajua kila kitu huwa kinapita wakati mwingine na mazuri yake, wacha tuhangaike na hawaHaaminiki huyo
David Seaman na Jens Lehmann ndo makipa niliowaelewa pale Gunners waliofuata wote mapazia tu hata Petr Cech kaja wakati makali yashapungua
....
Labda...huyu mtoto kibongo bongo na stress zetu angekula kichapo hapo.. baada ya hapo ni kukojoa na kulala