briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Pamoja sanaPamoja mkuu
Pamoja sanaPamoja mkuu
Hahahaa... Shem, huyu jamaa tuna utani nae mwingi sana. Ila tumeshakubaliana twende pale wikendi hii.
Sio wote wanaoaga wanaenda kulala sa ivi, si unajua tena ndo wkend ishaanza mkuuWachovu sana hawa watoto.
Sijui nguvu wamezipeleka wapi!
Ufafanuzi tafadhali
Ipo siku mtaelewa tu, twendeni taratibu.Mimi pia mpaka sasa sijaelewa!
Inaelekea wamemalizwa nguvu leoWachovu sana hawa watoto.
Sijui nguvu wamezipeleka wapi!
Ikoje?Avata yako mkuu....
Mimi huwa naziona ni za kawaida tu, au labda kwa vile nipo karibu na Gamboshi!Anatishaga we husomigi nyuzi zake eeeeeeee
Mgeni karibu sana.Sijui nilikuwa wapi nimechelewa, Hodiii
Kwangu burudaniIkoje?
OohKwangu burudani
Hahahaa...
Yelewii...
Jibu hapa hapa ili iwe faida na kwa wengine piaDuuu....
Haya uni pm jibuu. ..
Ahaa... kumbe!?
Mzee wa Upako amenena.Ana sumu akisema neno utakufa, Yesu pekee ana Neno la uzima, huyu mwache agune tu
nilikuwa honeymoon na shem wako ndio nimerudi
Anaitwa nani vilee?nina mke tayari mkuu
Trophy.Nini