Usiwe na shaka salamu zimefika!ahsante msalimie Nahrene
Mbona siko kwa list yako

Miss you too broJimena nimekumiss balaa dada angu..mzima?
Ngoja nifikirieMkuu nipe dili ya weekend basiii...
Tunapata pesa wapi za kutumbua!
Mkuu hali yako vpMy dada ameizing miss u
FreshNi nzuri sana kaka, nambie.
Oooh very raha to hear, karibu dadaMiss you too bro
Hii list invisible wamekosea kupanga.Zamu yake haijafika bado, avute subira kidogo.
Ha Haaaa.....nilikuwa honeymoon na shem wako ndio nimerudi
Jana nlijiona kwenye Hiyo list Leo sipo daaaah kapukuuu bigup saanaHii list invisible wamekosea kupanga.
Hahaha.Jana nlijiona kwenye Hiyo list Leo sipo daaaah kapukuuu bigup saana
Nenda kwenye most likes Kila mahali mnataka muwepo tuHii list invisible wamekosea kupanga.
Kwenye list ya Makapuku upo kijanaJana nlijiona kwenye Hiyo list Leo sipo daaaah kapukuuu bigup saana