Katika dondoo za bbc. ..
[emoji117] Korea Kaskazini yarusha kombora lingine katika bahari ya Japan.
[emoji117] Mgomo wa Wahadhiri nchini Kenya waingia siku ya pili, kushinikiza serikali kutimiza mkataba wa nyongeza ya mishahara na marupurupu uliotiwa saini, hali inayowaathiri wanafunzi.
[emoji117] [Ethiopia imeanza ujezi wa viwanda viwili vinavyo tarajiwa kutoa maelfu ya nafasi za kazi kwa wasio na ajira na wakimbizi kutoka nchi jirani.
[emoji117] Wendesha mashtaka nchini Uganda wametishia mgoma endapo madai yao yakiwemo ya nyongeza ya misahara hayatekelezwa katika kipindi cha siku saba zijazo.