Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Mama mchungaji umeamkajeee mamaAsante Obe Ubarikiwe
Mama mchungaji umeamkajeee mamaAsante Obe Ubarikiwe
Niko macho toka JanaBlessed hope,shunie,sakayo,Husna Muba,Lee, werrason,Bitoz amkeni jamani tukaijenge Tz ya viwanda
Umeonaee![]()
![]()
tulikua wote night shift nini?
Mie ndo naenda kulala mkuuSakayo karibu kijiweni
Mi mwenyewe naelekea kwenye breakfast ili niutafute usingizi.baadae dada wa mimiMie ndo naenda kulala mkuu
Kumekucha na makucha yake kila mtu na kichaa chakeWakuu kumekucha swalamaaaaaa. ..UF inawajia hivi pundee
Nzuri jirani, za kwakoJirani habari ya asubuhi
Swalamaaaaa.... Rafiki kipenzWakuu kumekucha swalamaaaaaa. ..UF inawajia hivi pundee
Aisee, umeamkaje shemejiNiko macho toka Jana