Jirani habari ya asubuhiShemeji za usiku
Korea Kaskazini yarusha kombora lingine katika bahari ya Japan.
Mgomo wa Wahadhiri nchini Kenya waingia siku ya pili, kushinikiza serikali kutimiza mkataba wa nyongeza ya mishahara na marupurupu uliotiwa saini, hali inayowaathiri wanafunzi.
[Ethiopia imeanza ujezi wa viwanda viwili vinavyo tarajiwa kutoa maelfu ya nafasi za kazi kwa wasio na ajira na wakimbizi kutoka nchi jirani.
Wendesha mashtaka nchini Uganda wametishia mgoma endapo madai yao yakiwemo ya nyongeza ya misahara hayatekelezwa katika kipindi cha siku saba zijazo.Heshima yako mkuu LeeKatika dondoo za bbc. ..
Korea Kaskazini yarusha kombora lingine katika bahari ya Japan.
Mgomo wa Wahadhiri nchini Kenya waingia siku ya pili, kushinikiza serikali kutimiza mkataba wa nyongeza ya mishahara na marupurupu uliotiwa saini, hali inayowaathiri wanafunzi.
[Ethiopia imeanza ujezi wa viwanda viwili vinavyo tarajiwa kutoa maelfu ya nafasi za kazi kwa wasio na ajira na wakimbizi kutoka nchi jirani.
Wendesha mashtaka nchini Uganda wametishia mgoma endapo madai yao yakiwemo ya nyongeza ya misahara hayatekelezwa katika kipindi cha siku saba zijazo.
Mungu akutie nguvu kaka yangu,Mkabidhi Mungu mambo yako yote yeye atakamilisha kwa wakati wake,siku zote yupo upande wetu..NakuombeaMkuu nipo jukwaani toka jana ila kutokana na akili yangu kuto kuwa sawa nimeona niwe msomaji tu
Asante kwa ukaribisho

Duh...kumbe upo macho?Mungu akutie nguvu kaka yangu,Mkabidhi Mungu mambo yako yote yeye atakamilisha kwa wakati wake,siku zote yupo upande wetu..Nakuombea![]()
TushaamkaBlessed hope,shunie,sakayo,Husna Muba,Lee, werrason,Bitoz amkeni jamani tukaijenge Tz ya viwanda
Muziki: Kwanini Usifurahi
Sijui kama anitachoka kusema kuwa Kapuku Forum ni sehemu bora kabisa ya kuianza siku, kuiishi na kuimaliza. Ni mahali pazuri ambapo tunajifunza na kufundishana, kufurahi bila kukufuru na ambako kila mmoja mawazo yake yanaheshimiwa, utapata sehemu gani nyingine. With this I mean this is a not a perfect forum but the great one. Nimeongeza mbwembwe kidogo si mnajua kila mtu JF kasoma UD na anakaa au alishafika Dar! mimi nina anko wangu Dar huwa ananipa habari sijui za Salenda briji, kama hulijui sio dhambi, angalau nimekueleza lipo.
Ni vizuri kuianza siku kwa furaha na hasa siku yenyewe inapokuwa ni Jumatatu, hii huwa ni siku ngumu sana maana ni siku ya kazi/shule/shamba na yote tusiyoyapenda.
Muziki sasa, usije ukadhani kuwa utamu wa muziki na gitaa huwa hauthamini nyimbo za vijana wa jana na wa leo (generation Y- millennials). Leo tutaangalia muziki wa jana na sitaongea mengi maana wimbo wenyewe unajieleza kwa ujumbe na sauti nzuri
Karibu maana uwepo wako hapa hulifanya jukwaa hili kuwa la kipekee na kuwafanya watu wadhani linakimbizana na majukwaa mengine kumbe katu halifanyi hivyo, utakimbizana vipi kama hayupo wa kukimbizana naye.
Kipi kinakufanya usifurahi unapotembelea hapa? Sijauliza swali, nimetoa maelezo ya swali, maelezo ya majibu kaa nayo
Nipo poaNa kwako pia mkuu kibumbu ...
Hope uko poa
Apoo guudNipo poa