Pole na wewe pia my. Kwa uchovu huu leo sitokiMorning my Anika ....pole na uchovu bt our 9t was soo special
Pamoja sana wadau![]()
shukrani kamanda kwa magazeti...!
Pamoja shemeji
Asante mkuu
Tanzania ya viwonderBlessed hope,shunie,sakayo,Husna Muba,Lee, werrason,Bitoz amkeni jamani tukaijenge Tz ya viwanda
nendeni mkajenge mi nasubiri kupaua
Pumzikaa ntapitaa tena twende lunch ...usisumbuke kupikaaPole na wewe pia my. Kwa uchovu huu leo sitoki
Hata mm jamaniHilo LA kusoma mi nashindwaga kudanganya kabisaa
Umeamka mama
Tanzania ya viwonder![]()
![]()
![]()
nendeni mkajenge mi nasubiri kupaua
Morning bhinamu ...hope uko poashululu , anko lee empire na BlessedHope ninyi wadau hunianzishia siku yangu kwa uzuri sana. Magazeti, UF na BBC jumlisha Sala kwa mfuatano wa majina.
Ninathamini mchango wenu asubuhi hii na wakati wote. Asanteni bila kusahau najipongeza na Mimi mpenzi msomaji
Ubarikiwe sana Obeshululu , anko lee empire na BlessedHope ninyi wadau hunianzishia siku yangu kwa uzuri sana. Magazeti, UF na BBC jumlisha Sala kwa mfuatano wa majina.
Ninathamini mchango wenu asubuhi hii na wakati wote. Asanteni bila kusahau najipongeza na Mimi mpenzi msomaji
Namshukuru Mungu nimeamshwa salama za uzimaMama mchungaji umeamkajeee mama
Asante kwa taarifa,mpe hiJimena amebanwa na majukumu sidhani km Leo ktk historia
Si mnajua asiyefanya kazi na asile......kazi ni uhai Na kauli mbiu inayobamba ni Hapa Kazi Tu !!
Niwatakie siku njema
......