Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji523] TUOMBE

Asante Mungu Baba kutuamsha salama,tunatubu Baba makosa yetu yote tunaomba ututakase,uturehemu twakusihi ponya roho zetu,ganga mioyo iliyovunjika,ponya wagonjwa,waliokata tamaa na wanaopitia changamoto mbalimbali..Asante Baba kwa Baraka zote na mema unayotutendea ,tunayoyaona na tusiyoyaona...mahali hapa tubariki tudumishe Upendo,Amani Mshikamano Makapuku pawe mahali tofauti na faraja ya wengi..Asante Baba maana utatuzingira na ulinzi wako malaika wako wataweka kituo mahali hapa na sote tutakushukuru wewe katika jina la Yesu Amen..MCHANA MWEMA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
 
de616fb7f9e36239127da50be7f1f908.jpg
[emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom