Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Ukimchoka mtu mwambie ndo uanaume huo, wanaoruhusu wake wengi mbona wao wana mmojaKwa hiyo ukijitoaa niongezee mwingine au
Ukimchoka mtu mwambie ndo uanaume huo, wanaoruhusu wake wengi mbona wao wana mmojaKwa hiyo ukijitoaa niongezee mwingine au
Hivi si unaijua roho yangu ilivyo me siwezi dadaSio kwa dunia hii... Chaa Ngastukaa
Mie Nimeona mchana nikajua utani tuuMe najuaje dada angu nimesema niingie jf bada ya kuletewa simu nakutana nayo haya bada ya kumaliza tu kuchat na wewe
Leo kwako ....Leo walala wapi?
Nguvu zako tuKwa hiyo ukijitoaa niongezee mwingine au
Hilo LA kusoma mi nashindwaga kudanganya kabisaaNa kila mtu kasoma ngazi ya Chuo kikuu hahaha jamani
Na kwako mkuu, pole na majukumu ya kusukuma gurudumu la maendeleo ya Tanzania yetu ya viwanda?Heshima kwako pia
Naomba uache kumshawishi mume wangu.... Oa kivyako, sawa????Utani upiii
Kumbe ndo kakwambiaa ???Me najuaje dada angu nimesema niingie jf bada ya kuletewa simu nakutana nayo haya bada ya kumaliza tu kuchat na wewe
Wajibebishe tu dadaMbona ushaweza sasaaa
Ona wanavyojibebisha huko juu
Jinsi unavyowanyongaNini hiyo
Na wewe tabia yako ya kumsifia eti ni kidume uache![]()
![]()
kunyanganywa simu tena
We unaonajeKwan kuna ubayaa
Ndio ujionee sasa kama utani auMie Nimeona mchana nikajua utani tuu
Ndo dawa yakooo![]()
![]()
kunyanganywa simu tena
Hawezi keshasemaUtayawezaaa
Uko na miebasi masikini peke yangu humu jf