Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Wakati ni ukutaHata kama jamaniii
Vidic alikuwa na roho ya paka lakini mwisho wake ulipofika akawa na roho km ya panzi tu
Ila uzoefu wa Terry utawasaidia Villa
....
Wakati ni ukutaHata kama jamaniii
Hahahaha eti kama ya PanziWakati ni kukuta
Vidic alikuwa na roho ya paka lakini mwisho wake ulipofika akawa na roho km ya panzi tu
Ila uzoefu wa Terry utawasaidia Villa
....
Broo tena?Nipo bro
Yap? Nimekosea?Broo tena?
![]()
![]()
hii ni kiboko!
cc LeeAssume ipo bongo hii...
Kila siku ipo kwa lee
Nahisi hivyoo!Yap? Nimekosea?
Asante mkuu. Kuko salama huko uliko?Lee,sakayo,shunie,bitoz,SHIMBA YA BUYENZE,mkongo na makapuku wote heshima kwenu wakuu