Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Sawa mdausawa ninjaa.. mimi nakuelewa wewe ni ntu mmoja nstaarabu sana
Ila hakuna asiye na mapungufu
.....
Sawa mdausawa ninjaa.. mimi nakuelewa wewe ni ntu mmoja nstaarabu sana
Ila kiukweli spurs waga hawafanyi kosa kwenye jezi zao....jezi nzuriii sana
Sanaaa,mie nlikuwaga nayo moja watu wakaiibaIla kiukweli spurs waga hawafanyi kosa kwenye jezi zao....jezi nzuriii sana
Polee sanaaSanaaa,mie nlikuwaga nayo moja watu wakaiiba
![]()
![]()
![]()
Ngoja nitainunua nyingine
Basi mkuu samahaniile lunch yako ilikuwa sio poa kabisa
hii imekaa vizuri sana ...ningefungisha harusi kama mia hivi kibongo bongoDID YOU KNOW ?![]()
AhsantePolee sanaa
haha! aina haja ya kuomba samahani lakini siku nyingine ikifaka mida ya lunch uniite sehemu husika tuafanye fujo woteBasi mkuu samahani
Hata kama jamaniiiEti ng'ombe hazeeki maini
![]()
![]()
![]()
....
kweli kabisa.. hiyo nayo ni pwointi ya msingiSawa mdau
Ila hakuna asiye na mapungufu
![]()
![]()
![]()
.....