Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Is this sakayo..?Waoaji feki

Is this sakayo..?Waoaji feki

HahahaAsante, chakula hicho kwa wewe sawa, ila mimi hapana aisee, hasa hizo chips
Tena donnaHahahahaha utaagiza ugali
HahahaIs thi sakayo..?![]()
Ndo ukweli kila mtu anapenda kupendeza ila siyo kila mtu anajua kuvaaHahahaaa!
....kweli aisee, nimeamua kupunguza vitu vinavyochosha mwili. Nimeanza na nyweli, nazikata kila wiki, na kunyoa pale ninapoona mwili unachoshwa.
Asante lwa ushauri Husna mpendwa wangu. Umeamka salama lakini

Jirani mzima?ulipotea
I see
Huyu jamaa alikuwa mfanyabiashara a.k.a Don mkubwa wa Juarez Cartel mara tu baada ya kumuua boss wake na kujitwalia ufalne![]()
.......
Hahahaha jamani mamy nmecheka kwa sautiHahaha
Wa dar wanazimezea mate
Basi we sio mwanamme wa DarTena donna
JF kila mtu tajiri na anajua everythingMie Nafurahi tu kuona umekuwa
Kuna watu wana pesa na hawajui kuvaa mfano boss Wang anavaaga nguo hadi suruali inapauka makalioniNdo ukweli kila mtu anapenda kupendeza ila siyo kila mtu anajua kuvaa
Na uhusiano wowote kati ya uvaaji wa mtu na pesa......kujua kuvaa samtaimu ni kipaji tu au hobby
Ila najua kuignore
........
Na kila mtu kasoma ngazi ya Chuo kikuu hahaha jamaniJF kila mtu tajiri na anajua everything
Hata km ni shambaboy au hausigeli
![]()
![]()
![]()
.......
HahahaHahahaha jamani mamy nmecheka kwa sauti
MamboLee,sakayo,shunie,bitoz,SHIMBA YA BUYENZE,mkongo na makapuku wote heshima kwenu wakuu