Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Leo katika Historia
3/7/1989 - Godfrey Walusimbi. Mchezaji wa mpira wa Miguu toka Nchini Uganda anazaliwa.
......
Leo katika Historia
3/7/1989 - Godfrey Walusimbi. Mchezaji wa mpira wa Miguu toka Nchini Uganda anazaliwa.
Papaa werason waubani Wa bh![]()

Hela hizi
Huyu jamaa alikuwa mfanyabiashara a.k.a Don mkubwa wa Juarez Cartel mara tu baada ya kumuua boss wake na kujitwalia ufalne![]()
.......
Hapana, nilikua PaliiUmeibuka mukongo.... Idd umelia Lubumbashi nn?
Nisaidie kuepuka kesi kwa kuficha ushahidiHapo mwisho umeua kabisa
Si kweliAlikuwa goma kwenye mapigano
OhooHapana, nilikua Palii
Asante kwa UF dia
Leo katika Historia
3/7/1988 - Winston Reida amezaliwa.
Ni mwanasoka wa klabu ya West Ham na Timu ya Taifa ya New Zealand.
Thank you kwa dondoo za BBCKatika dondoo za bbc. ..baadhi ni ....
Viongozi wa nchi tano za Afrika Magharibi wazindua jeshi la pamoja kupambana na wapiganaji wenye itikadi kali kwenye eneo la Sahel.
Qatar leo inatarajiwa kutoa majibu juu ya madai ya nchi za Kiarabu kuhusu nchi hiyo kuunga mkono ugaidi.
Rais wa Burundi Pierre Nkurunzinza atangaza kuwa uchaguzi mkuu ujao utaandaliwa kwa kutumia uwezo wa ndani, huku wananchi wakitakiwa kuchangia.
Nakuona kwenye assist zakow!!!Habari za asubuhi wajanja wote mnaopatikana humu
Naona week nimeanza
Wale wa ofisini mpo ofisini
Wakulima wapo shambani
Wa kuchat wapo mtandaoni
Matapeli wapo kwenye assist zao
Yaani kila mtu na kwake
Niwatakie Jumatatu njema
.......

Sasa hiyo A hata sijui ilifata nini hapo
Reida=Reid![]()
.......
Asante husna kwa kujali afya zetu

Kumbe we ni DAKTALIAfya... UKWELI MCHUNGU...
Binadamu akishafika miaka 30 mwili wake unaanza kufifia... na karibia mfumo ( systems ) mingi sana ya mwili ndio huwa katika kilele cha ufanisi na baada ya hapo ndio huanza kupungua hadi kifo. kikawaida hata mtu asipougua kabisa, kuna umri seli zake hukoma kujigawanya ( kujizalisha )
na baada ya hapo inafatia mifumo kushindwa kufanya kazi na hatimaye kifo ( cha uzee )
uzee nao hauna miaka ... binadamu tunatoautiana kasi ya seli kugawanyika... hi inachangiwa na chakula...na mazingira...
nataka kukushauri kwamba ukishafikia miaka 30 anza kupunguza baadhi ya vitu vinavyochosha mwili... mfano vile na sigara...na machemichali ya ajabu ajabu...
#Thinking_loud

Morning rafiki..Avatar nimeielewa.
Morning
Leo katika Historia
3/7/1987 - Sebastian Vettel anazaliwa.
Ni mwendesha magari maarufu toka Ujerumani.
Na safari lager uache pia....kweli aisee, nimeamua kupunguza vitu vinavyochosha mwili. Nimeanza na nyweli, nazikata kila wiki, na kunyoa pale ninapoona mwili unachoshwa.
Asante lwa ushauri Husna mpendwa wangu. Umeamka salama lakini
PouwaMmeamkaje makapuko wenzang