Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
MmmmhMorning rafiki..
Nimekuona baasi siku itaenda poa sana
Shkamo
MmmmhMorning rafiki..
Nimekuona baasi siku itaenda poa sana
Yuko poa kabisaaBinamu uko poa ??
Leo katika Historia
3/7/1980 - Roland Schoeman. Muogeleaji kutoka nchini South Africa anazaliwa.
Ulitakaje dadaMmmmh
Shkamo
Morning BitozHabari za asubuhi wajanja wote mnaopatikana humu
Naona week nimeanza
Wale wa ofisini mpo ofisini
Wakulima wapo shambani
Wa kuchat wapo mtandaoni
Matapeli wapo kwenye assist zao
Yaani kila mtu na kwake
Niwatakie Jumatatu njema
.......
Might.. ...una 'kitete' weweYuko poa kabisaa
AsanteKwa udhamini mnono kabisa wa Timu ya ujerumani leo katika Historia haina la ziada.
Niite Jimena Jimenes nawatakia siku njema yenye mafanikio na furaha tele.
Ciao !!!
Namshukuru Mungu sijamboPouwa
Hali yako vipi jamani
Kaa mbali na wauza ungaAisee
AminaNamshukuru Mungu sijambo
Mie SijamboUlitakaje dada
Leo katika Historia
3/7/1962 - Tom Cruise muigizaji nguli wa wa filamu toka Marekani anazaliwa.
Ni maarufu kwa filamu za Mission Impossible.
Kwema Sakayo muke ya TMorning Bitoz
Huyu jamaa alizaliwa kufanya![]()
Alimuoa Katie Holmes na kuwa moja kati ya ndoa za kifahari zaidi duniani ya muda wote![]()
......
EwaaaaaaaahYuko poa kabisaa
Leo kaenda clinicShunie nakumiss jamani
Atakuja tuShunie nakumiss jamani