Hivi huwa unalala kweli? Au unafanya kazi ya ulinzi kama mimi?Tuwe na siku njema...clkey na Bitoz pole sana ndo mpira ...acha vijana waendelee kuwashangaza wakubwa
Oooooh uko poa demi wanguu....jamanii mbona kushakuchaa saa 11 hii ...sema huwa najitahid kuamka mapema kufanya mazoezi kabla sijaingia kibaruaniiiHivi huwa unalala kweli? Au unafanya kazi ya ulinzi kama mimi?
Mi nipo Lee. Mazoezi unafanya saa ngapi maana umeshikilia simu tangu saa kumi nakuona tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Oooooh uko poa demi wanguu....jamanii mbona kushakuchaa saa 11 hii ...sema huwa najitahid kuamka mapema kufanya mazoezi kabla sijaingia kibaruaniii
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] kwan yale sio mazoezi ....Mi nipo Lee. Mazoezi unafanya saa ngapi maana umeshikilia simu tangu saa kumi nakuona tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unafanya huku umeshikilia simu unacomment jf?[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] kwan yale sio mazoezi ....
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] labda poooo ndo huwa naishikaa ...umesahauu,,Unafanya huku umeshikilia simu unacomment jf?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hayaaaa![emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] labda poooo ndo huwa naishikaa ...umesahauu,,
[emoji120] [emoji120] [emoji120] Ameni[emoji523] TUOMBE:Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu tunakushukuru kutuamsha salama ,tunaomba ututakase utusamehe yote tuliyokosea kwa mawazo,maneno ,matendo...mwezi huu wa saba na wiki hii tunajikabidhi mikononi mwako tunaomba utuepushe na magonjwa,mateso,shida ,dhiki na kukata tamaa vyote visitamkwe kwetu.
Tunakabidhi kazi zetu,familia ndoa na mipango yetu mikononi mwako,uwe nasi siku zote tutetee Mfalme wa Amani.
Imarisha AMANI kila mahali hasa katika eneo la KIBITI BABA ingilia kati ,sema neno Baba takasa eneo hili.
Tunaomba utusaidie hapa MAKAPUKU kuwa na Upendo ,Mshikamano na kuchukuliana adui asitutenge.
Tunawaombea watoto wetu wengi wanafungua shule siku yaleo waongoze Baba popote walipo kuza ufahamu wao,wajitambue wakushike wewe na uwe kimbilio lao katika mambo yote ya kimwili na kiroho adui asiwateke.
Bariki wasafiri popote waendapo DAMU YA YESU IWAFUNIKE Angani,Majini,Nchikavu
Asante BABA maana utatenda sawa na mapenzi yako.Katika jina la Yesu Amen[emoji120] SIKU NJEMA[emoji7] [emoji7] [emoji7]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] hope umeamka poaSoon UF ...ila kwanza simuliziiii
Anakuja,umzimaWapiii Shululu, muzeee ya magazeti