BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
AmenWakuu kumekucha swalamaaaaaa ...siku nyingine wiki nyingine mwezi mwingineeee na mipango mingine .....kujituma na kujali mda ndo kila kitu
AmenWakuu kumekucha swalamaaaaaa ...siku nyingine wiki nyingine mwezi mwingineeee na mipango mingine .....kujituma na kujali mda ndo kila kitu
AsanteSoon UF ...ila kwanza simuliziiii
Kinachomkwamisha trump na Japani na korea kusini kuishambulia korea kaskazini ni Uchina na UrusiView attachment 534412Lee upo hapo
Mama mchuchu ...Asante
Bitoz anatia hurumaaaaa.....Tuwe na siku njema...clkey na Bitoz pole sana ndo mpira ...acha vijana waendelee kuwashangaza wakubwa
HV we unalinda nn?Hivi huwa unalala kweli? Au unafanya kazi ya ulinzi kama mimi?
Mi nipo Lee. Mazoezi unafanya saa ngapi maana umeshikilia simu tangu saa kumi nakuona tu![]()
![]()
![]()
itakuwa ndio mazoezi yenyew hayo anayoyazungumziaKwinchi kwinchi?!![]()
![]()
![]()
kwan yale sio mazoezi ....
Wewe unawazaga kwichiiii mda woteeKwinchi kwinchi?!
Ubarikiwe SHIMBA YA BUYENZE ASANTE KWA KUWA PAMOJA NASI ASANTE KWA UPENDO UWE NA SIKU NJEMA,WIKI NJEMA,MWEZI MWEMA UZINGIRWE NA ULINZI WA BABA MWEMA..ROHO MTAKATIFU AKUONGOZE,AKUSIMAMIE.AMENAsante mama Mchungaji. Asante kwa kutuombea na kutupa neno bila kukoma. Roho Mtakatifu bila shaka Atalihuisha neno hili ili hatimaye likaweze kuzaa matunda. Kazi yako hii si ya bure!