Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Salama kabisa ....wewe jee ??![]()
![]()
hope umeamka poa
Salama kabisa ....wewe jee ??![]()
![]()
hope umeamka poa
Sema leo ulichonifanyia siyo kabisaa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hayaaaa!
Asante mama Mchungaji. Asante kwa kutuombea na kutupa neno bila kukoma. Roho Mtakatifu bila shaka Atalihuisha neno hili ili hatimaye likaweze kuzaa matunda. Kazi yako hii si ya bure!TUOMBE:Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu tunakushukuru kutuamsha salama ,tunaomba ututakase utusamehe yote tuliyokosea kwa mawazo,maneno ,matendo...mwezi huu wa saba na wiki hii tunajikabidhi mikononi mwako tunaomba utuepushe na magonjwa,mateso,shida ,dhiki na kukata tamaa vyote visitamkwe kwetu.
Tunakabidhi kazi zetu,familia ndoa na mipango yetu mikononi mwako,uwe nasi siku zote tutetee Mfalme wa Amani.
Imarisha AMANI kila mahali hasa katika eneo la KIBITI BABA ingilia kati ,sema neno Baba takasa eneo hili.
Tunaomba utusaidie hapa MAKAPUKU kuwa na Upendo ,Mshikamano na kuchukuliana adui asitutenge.
Tunawaombea watoto wetu wengi wanafungua shule siku yaleo waongoze Baba popote walipo kuza ufahamu wao,wajitambue wakushike wewe na uwe kimbilio lao katika mambo yote ya kimwili na kiroho adui asiwateke.
Bariki wasafiri popote waendapo DAMU YA YESU IWAFUNIKE Angani,Majini,Nchikavu
Asante BABA maana utatenda sawa na mapenzi yako.Katika jina la Yesu AmenSIKU NJEMA
![]()
![]()
![]()
Nimefanyaje kwani?Sema leo ulichonifanyia siyo kabisaa
Za jumatatu mkuuWakuu kumekucha swalamaaaaaa ...siku nyingine wiki nyingine mwezi mwingineeee na mipango mingine .....kujituma na kujali mda ndo kila kitu
Nipo shemejiWapiii Shululu, muzeee ya magazeti
Shukrani shemela uwe na cku njema piaTuwe na siku njema...clkey na Bitoz pole sana ndo mpira ...acha vijana waendelee kuwashangaza wakubwa
Nko poa kabisaSalama kabisa ....wewe jee ??
Hbr ya cku mkoromijeAsante mama Mchungaji. Asante kwa kutuombea na kutupa neno bila kukoma. Roho Mtakatifu bila shaka Atalihuisha neno hili ili hatimaye likaweze kuzaa matunda. Kazi yako hii si ya bure!
Asante kwa hadithi, UF na BBCTuwe na siku njema...clkey na Bitoz pole sana ndo mpira ...acha vijana waendelee kuwashangaza wakubwa
Za kuamka my swiBaba watoto![]()
![]()
![]()