Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Niko PoaAnakuja,umzima
Niko PoaAnakuja,umzima
HayaNipo shemeji
Asante Rafiki kipenz kwa Simulizi UF na dondoo za bbc. Uwe na siku njema.Tuwe na siku njema...clkey na Bitoz pole sana ndo mpira ...acha vijana waendelee kuwashangaza wakubwa
Morning QUIGLEYMorning family
Me tooNawamiss jamn
That I can't guaranteeMsalimieni Jimena, akifika hapa nijulisheni wakuu
Jimena
HahahaThat I can't guarantee
Morning QUIGLEY

AmenTUOMBE:Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu tunakushukuru kutuamsha salama ,tunaomba ututakase utusamehe yote tuliyokosea kwa mawazo,maneno ,matendo...mwezi huu wa saba na wiki hii tunajikabidhi mikononi mwako tunaomba utuepushe na magonjwa,mateso,shida ,dhiki na kukata tamaa vyote visitamkwe kwetu.
Tunakabidhi kazi zetu,familia ndoa na mipango yetu mikononi mwako,uwe nasi siku zote tutetee Mfalme wa Amani.
Imarisha AMANI kila mahali hasa katika eneo la KIBITI BABA ingilia kati ,sema neno Baba takasa eneo hili.
Tunaomba utusaidie hapa MAKAPUKU kuwa na Upendo ,Mshikamano na kuchukuliana adui asitutenge.
Tunawaombea watoto wetu wengi wanafungua shule siku yaleo waongoze Baba popote walipo kuza ufahamu wao,wajitambue wakushike wewe na uwe kimbilio lao katika mambo yote ya kimwili na kiroho adui asiwateke.
Bariki wasafiri popote waendapo DAMU YA YESU IWAFUNIKE Angani,Majini,Nchikavu
Asante BABA maana utatenda sawa na mapenzi yako.Katika jina la Yesu AmenSIKU NJEMA
![]()
![]()
![]()
Kumekucha na makucha yakeWakuu kumekucha swalamaaaaaa ...siku nyingine wiki nyingine mwezi mwingineeee na mipango mingine .....kujituma na kujali mda ndo kila kitu
Amen ya wivu tu hiyo.Amen
Atakanusha muda si mrefu kuwa hajamuonya
Kwema kabisa. Wewe u khali gani?Hbr ya cku mkoromije
MorningMorning family
KweliiiMagazeti ya leo yanaanzisha vita kati ya lowasa na magufuli
Ubarikiwe Lee siku ,wiki na mwezi wa BarakaAminaa mama mchungaji. ..Asante kwa baraka ...
TUOMBE:Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu tunakushukuru kutuamsha salama ,tunaomba ututakase utusamehe yote tuliyokosea kwa mawazo,maneno ,matendo...mwezi huu wa saba na wiki hii tunajikabidhi mikononi mwako tunaomba utuepushe na magonjwa,mateso,shida ,dhiki na kukata tamaa vyote visitamkwe kwetu.