Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nimekuwa vema anko.

Niko POA sana. Sijui wewe leo umeamkaje?


BTW, asante kwa hadithi, iko poa sana. Ni nzuri na sikujua kama itakuwa ikiniumiza akili isipowekwa.

Au na mimi niwe naiquote nzima nzima
Ooooooh kumbe na wewe unaifatiliaa nilijuaa ni ya shunie na tumosa
 
Leo katika historia

1/7 /1976 Patrick Kluivert mwanasoka mahiri kutoka Uholanzi azaliwa
6cb7601f879ab7c632c05f034e5fa496.jpg
6ac986f992cf5d5a6bc42ef82a770387.jpg
76c1e96d61d01c6a62bd1a5d1473efcc.jpg
Alikuwepo kwenye kikosi cha Ajax kilichojaa vijana chini ya LVG na kubeba ndoo ya UEFA
.....
 
Kwa wale wapenzi wa simulizi ...kapuku tunamalizia kila kitu ikiwa tunaelekea mwisho kabisa wa tuliyoanza nayooo.....soon kuna dude linakujaaaa

............unamjuaa JOHANNES KEPLER, Mjerumani wa kale aliyeishi ndani ya ndoto za GERMAN MACHINE.
Alizaliwa Desember 27, 1571, Na alifariki November 15, 1630. Yeye ndiye mwanahisabati aliyefichua siri nyingi za jua, umbali wa sayari na jinsi zinavyozunguka..............
Hajawahi kutoka nje ya sayari ya tatu (dunia) lakini wanasayansi waliofika sayari ya Mars n.k kupitia michoro yake wakahakiki kile alichokiandika karne nyingi. Mpaka leo tafiti yake ndiyo inayotumika katika mambo ya sayari na jua ingawa aliishi kipindi ambacho dunia haikuwa imeendelea kama sasa.

Lakini mbali ya mengi aliyoyafanya Kepler, bado kuna kitu German Machine alikiona hajafanikiwa na hakuna mtu aliyethubutu kukifichua hiko kitu zaidi yake (German Machine) hali iliyopelekea kuishangza dunia akiwa na umri mdogo.
Je, ni kitu gani?
Na huyu German Machine ni nani hasa?

Usikose kuisoma riwaya ya kipekee duniani itayokuanikia siri nyingi za hesabu, sayari na jua.
Hakika itakushangaza pia utajifunza mengi na utaburudika.
Hapahapa Kapuku .....
 
Leo katika historia

1/7/ 1961 Princess Diana anazaliwa.
Alikuwa mke wa mtoto wa malkia wa nchini Uingereza azaliwa.
Princess Diana alifariki mwaka 1997 katika ajali ya gari ambayo imebakia kuwa tata hadi leo
d8f86305cc251636ffba9879d7668c54.jpg
d9cc15485fff5d97be5a450c9c83823b.jpg
2cc30ec83a817ce1e6dd6b710506c1b8.jpg
124d410235d024a922c1e27e96c23655.jpg

Princess Of Wales alikuwa ni rafiki mkubwa wa Mama Theresa kutokana na tabia yake ya kusaidia maskini bahati mbaya wote walifariki mwaka1997
Uhusiano wake na Mwarabu Fodi Al Fayed ndo uliomponza
.......
 
Leo katika historia

1/7/2002 Mahakama ya kimataifa ya ICC yaanzishwa rasmi kwa ajili ya kuwahukumu viongozi wanaotenda makosa ya kihalifu wanapokuwa madarakani
a5b97a5aa3604f89d412b4136697d2b7.jpg
1ac9cb688c10c7b0efcea64106c5253f.jpg
2d347a3adbc59232fff7c80bd47bfcd3.jpg
Ipo zaidi kwa ajili ya kuwashughulikia viongozi wa Kiafrika na wale wanaokwenda kinyume na matakwa ya wakubwa
.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom