Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kila mtu na kipaji chake shunie..
Katika vitu nilivyokosa maishanj mwangu na hua naumia sana kuvikosa ila ndio Mungu kaniumba hivyo ni kuongea..Yaani sijui kabisaaa hata kupiga stori na watu mda wote nipo kimya pekee angu.Mtu nayeweza kuongea nae bila kukwaruza ni mama tu!! Hata baba hua ni salam tu maana nayy ni mtu wa kukaa kimya..Nikikumbuka mara ya kwanza kufanyiwa intaviu hua nabak najicheka tuu maana sijui khjitetea yaani siku nikipata kesi baasi jela inanihusu hata kama kosa sikutenda..
Bahat nzuri nilijaliwa upole na Aibu kiasi..


Duh, basi wewe una bahati sana na vyovyote vile utakuwa na mipango ya kando mingi sana maana kwa ukimywa wako wanaamini unatunza siri
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
[emoji255] [emoji255] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji254] [emoji254] [emoji259] [emoji259] [emoji259] [emoji255] [emoji255] [emoji263] [emoji263] [emoji263] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Mama mchuchu nakupa haya kwa niaba ya binamu yangu obe
 
Back
Top Bottom