Makapuku Forum

Makapuku Forum

f57a8356576bf3a60206f8178b4d51c3.jpg
Nasikia Sizonje anayo PhD ndo iliyomponza Ben kijana wa 8

.....
 
Hilo gazeti la sani ni waongo sana tangu lini korea akawa na uwezo kuzidi Marekani
Nafikiri anachohofia Mmarekani kama akiishambulia korea ni Urusi na China kuingilia kati maana korea kaskazini iko mipakani na Urusi na China
Nchi nyingine ambazo korea imepakana nazo kimipaka ni Japani na ndugu zao kusini ambazo ndiko Marekani anakoegemea
Hao SaN sijui kama waandishi wao wamesoma shule
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom