Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika historia

1/7/1960 Nchi ya Somalia yajipatia uhuru wake
1f1139a5923013bab938d79a013cbec7.jpg
ddb3d5522fffc6f6ce3b0b9c5a5bdc6e.jpg
ddb61709b8bf4d4c06652b5770d3ccfd.jpg

Kiuhalisia hiyo ni sawa na Sikukuu ya Muungano huku kwetu maana Somali land ilishapata uhuru kabla ya tarehe hiyo
Hii ni siku ambayo Trust Territory of Somaliland{ilitawaliwa na Wataliano) iliungana na State of Somaliland(koloni la Uingereza)

Hivyo ni sawa na Muunganp wa kimagumashi wa Bara na Visiwani
.........
 
Kufikia hapo basi leo katika historia haina la ziada. Asante kwa Ibracadabra kwa kusababisha hii siku ya leo..
Asanteni sana wote kwa kuwa kuwa pamoja nami asubuhi ya leo. Niite Jimena Jimenes.... Muwe na weekend njema.... Nawapenda wote


Asante sana mpenzi mwandikaji wa historia. Nami mpenzi msomaji nasisitiza asante kwa kutuhabarisha.

Ngoja nirudi kwenye magazeti niende nikatie upako
 
Leo katika historia

1/7/1962 Ni Siku ya uhuru wa Rwanda
1ccc9e42b1334065533900b70ec544e5.jpg
d7f6adc0bd6d4287c237302a3e41ec2e.jpg
2379b5586e82aefba72fe514ce796a98.jpg
Uhuru wao haukuja kirahisi
Watutsi waliishambulia Rwanda walitokea nchi za jirani....Wahutu wakajibu mapigo matokeo yake maelfu wakapoteza maisha hivyo wakoloni wa Kibelgiji wakishirikiana na Umoja wa Maarifa wakaamua kuwapa uhuru wao ili wasepe maana mambo yashaharibika

Ila Watutsi na Wahutu waliendelea kuchukiana na kuuana hadi kufikia kuwa Mauaji ya kimbari
.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom