Makapuku Forum

Leo katika historia

29/6/1974 Mwanamama Isabel Peron anaapishwa kuwa Rais wa Argentina
Huyu ndio alikuwa Rais wa kwanza mwanamke nchini humo
Alizaliwa Februari 4 1931
Aliongoza Argentina kuanzia mwaka 1974 Julai 1 hadi tarehe 24 March 1976
Amewahi pia kuwa Mama Samia wa Argentina ila alikuwa na sauti sio km wetu wa bwana mkubwa Sizonje anayepelekeshwa pelekeshwa tu
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…