Makapuku Forum

Hapa ndio chanzo cha migogoro yote duniani na huu unafiki wao ndio ulifanya nikajiengua mapemaaa kwenye hizo dini zao na sasa sifungamani na upande wowote ule. Dini yangu ni upendo
Yote ni memq mbele za Mungu na Upendo ndio Amri kuu ya Mungu ...

1Wakorintho 13

1.Nijaposema kwa lugha za wanadamu na malaika ,kama sina upendo,nimekuwa shaba iliayo na upatu uvumao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…