Kumbe wapo wengi
Ila sasa huyu Bashite nae alikuwa mpuuzi. Sasa baiskeli aliiba ya nini???8/James HogueAlizaliwa 1959
Huyu bwana alifanya udanganyifu wa vyeti ili asome Princeton University kama alichofanya Daudi Bashite huku bongo ila huyu mzungu ndo kiboko
Kwanza kabisa alitengeneza/iba vyeti vya marehemu wa miaka 16 aliyekuwa mwanafunzi wa Sekondari huko Nevada kisha akajifanya pia ni yatima kwa vyeti vingine na kufanikiwa kugusa "Mlimani" tena kwa kusoma km yatima na hivyo kupiga assist sehemu kibao ila mwaka wa kwanza tu akaharibu baada ya kuiba baiskeli
Ila mwisho wa Siku utambulisho wake halisi ukagundulika mwaka 1991
......
Duh!8/James HogueAlizaliwa 1959

Huyu mlatino nae ni kiboko kabisa kwanza mwizi halafu pia anajua ku-assist7/Eduardo de Valfierno
Huyu ni tapeli wa Kiargentina
Huyu bwana ndo aliyefanikisha kuibwa kwa picha ya Monalisa
Alijifanya Marquis na kutafuta watu na kuwalipa kisha wakaiba picha ikiwa Makumbusho mwaka 1921
Baada ya aliyemtuma kuiba na kusepa huyu jamaa akala kamisheni na watunzaji na kutoa kopi 6 za picha hiyo
Na msala ulikuwa mrefu kiasi Ni ngumu juuelezea wote
.......
Ila sasa huyu Bashite nae alikuwa mpuuzi. Sasa baiskeli aliiba ya nini???
Hahahahaha hizo6/Soapy SmithAlizaliwa nchini Marekani 1860
Alikuwa ni msanii,tapeli na pia alimiliki genge lililokuwa lokijihusisha na Organised Crimes nchini humo
Alikuwa maarufu kwa kuanzisha "tripe and keister" katika kona zenye msongamano mkubwa wa watu mtaani na na kuuza keki za sabuni(keki feki) na kukusanya makumi kwa mamia ya watu kisha kuanza ujanjaujanja ila mwisho wa siku aliondoka na mpunga mrefu kwa kitapeli
.......
Hodi wenyewe hodi
KaribuHodi wenyewe hodi
Pole mpendwa
Chukua hayo upoze machungu
Karibu pita ndan Rubii
Karibu
Tunaishi kama ndugu huku heshima na Upendo vikitawala..Asanteni wapendwa,
Muulize Rainyundo maana hata yeye anaomba assist ndogo ndogo mfano 20k/= sasa fikiria akitupiga watu 50 tu JF jumla ni sh.ngapi?Hahahahaha hizoKwani keki ina gharama gani hata mtu utengeneze feki?? Huyu alitakiwa hata kufungwa maisha
Alivyo na macho mazuri sasa5/George Parker
Alizaliwa 1870
Huyu ni Rainyundo katika historia nchini Marekani ....alifanikiwa hadi kuwatapeli watalii kwa kuwauzia mji(ardhi) ya jiji la New York
Hakuishia hapo, alifanikiwa kuliuza Brooklyn Bridge mara mbili kwa wiki kwa miaka kadhaa
Alifanikiwa kuwatapeli watu kibao pia kwa kuwauzia Madison Square Garden na utapeli kibao ambao naweza kujaza page nzima hapa
Huyu kwangu Ndo mpiga assist japo matapeli wanatogautiana
......
Dah.......Muulize Rainyundo maana hata yeye anaomba assist ndogo ndogo mfano 20k/= sasa fikiria akitupiga watu 50 tu JF jumla ni sh.ngapi?
.....
Tuliza bolu mpira pasi