Makapuku Forum

Makapuku Forum

EBENEZA YUPO ANATUSAIDIA

1 SAMWEL 7

11.Nao watu wa Israel wakatoka Mispa ,wakawafuatia Wafilisti,wakawapiga hata walipofika chini ya Beth-kari.

12.Ndipo Samweli akatwaa jiwe ,na kulisimisha kati ya Mispa na Sheni,akaliita jina lake Eben-ezeri ,akasema ,Hata sasa BWANA ametusaidia.

TUOMBE

MUNGU BABA wa mbinguni tunakushukuru kutuamsha salama ,asante tumekuona unatuponya,unatubariki,unatulinda,unatukinga na unatupa furaha BABA tunakuona unatupa Amani Asante kwa kuwa upo nasi kila siku unatusaidia wewe ni EBENEZA.

Tunaomba tutakase,wasaidie vijana wote wakujue,wasaidie wanaotafuta ada,kodi,nyumba na maendeleo mbalimbali.

Ponya wagonjwa, wape tumaini wafiwa,wajane yatima,na wasio na makazi.

Tutakase BABA ILI TUPITE KWENYE CHANGAMOTO MBALIMBALI SALAMA.

Saidia nchi yetu Tanzania sawasawa na mapenzi yako,wafanye viongozi wetu wawe na hofu yako na watende haki siku zote,iponye nchi yetu Tanzania BABA na maafa mbalimbali epusha mauaji yanayoendelea,wewe ndiye unajua siri ya yote na utatoa hukumu ya haki

Baba asante tunashukuru

Katika jina la Yesu Kristo Amen

SIKU NJEMA MBARIKIWE
 
Kirat

bac1703338ba5ef93ef021f1d3b042c8.jpg
 
Ni kweli safari ya Kigamboni naitamani japo aunt yako ndo simuelewiiii...

Ila unajua kutyme binamu make nilijua ndo huji tena make kuku yuke nilijua namfaidii mwenyewe mara hodiii ukatingaaa...

Mdogo wake ana story nzuriii na ni charming wasemavyo wa China ...tuliongea mengi najua ulitamani uyasikie lakin siri yangu
MTU na binamu yake

Wazee Wa mambo na vijambo
 
EBENEZA YUPO ANATUSAIDIA

1 SAMWEL 7

11.Nao watu wa Israel wakatoka Mispa ,wakawafuatia Wafilisti,wakawapiga hata walipofika chini ya Beth-kari.

12.Ndipo Samweli akatwaa jiwe ,na kulisimisha kati ya Mispa na Sheni,akaliita jina lake Eben-ezeri ,akasema ,Hata sasa BWANA ametusaidia.

TUOMBE

MUNGU BABA wa mbinguni tunakushukuru kutuamsha salama ,asante tumekuona unatuponya,unatubariki,unatulinda,unatukinga na unatupa furaha BABA tunakuona unatupa Amani Asante kwa kuwa upo nasi kila siku unatusaidia wewe ni EBENEZA.

Tunaomba tutakase,wasaidie vijana wote wakujue,wasaidie wanaotafuta ada,kodi,nyumba na maendeleo mbalimbali.

Ponya wagonjwa, wape tumaini wafiwa,wajane yatima,na wasio na makazi.

Tutakase BABA ILI TUPITE KWENYE CHANGAMOTO MBALIMBALI SALAMA.

Saidia nchi yetu Tanzania sawasawa na mapenzi yako,wafanye viongozi wetu wawe na hofu yako na watende haki siku zote,iponye nchi yetu Tanzania BABA na maafa mbalimbali epusha mauaji yanayoendelea,wewe ndiye unajua siri ya yote na utatoa hukumu ya haki

Baba asante tunashukuru

Katika jina la Yesu Kristo Amen

SIKU NJEMA MBARIKIWE
Amen, Asante mama mchungaji kwa neno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom