Shukrani madenge ...
Ebu nyongeza kidogo ....hii kitu ni muhimu sana nikimanisha machozi aka tears ...
Kama ilivyo kazi ya moyo ni kupenda eti kupenda sory ....ni kusukuma damu mengine kimbelembele ...huko kupenda mengineyo kama Bitozi na Malkia wake ....tuache ukoo hivo hivo tears kazi kubwa ni kusafisha /lubricate cornea na conjuctiva (hii ndo sehem nyeupe ya jicho ) ...usichokee twende sawa ...
LACRIMATION ...tears secretion
Machozi uzalishwajii wake ni hormonal control japo kitaalamu yapo ya aina mbili achana na compositions kama ulivotujulishaa
1.Basal secretion (basic) ...haya yanatokea pasipo kusisimuliwa ila ngoja nitumie stimulation make wakina husna nawajua wa hapa ...sory na kazi yake ni kuitunza cornea na conjuctiva
2.Reflex tear secretion ...sasa hapa ndo tunaona yale yanayozalishwa kwa kustimulatuwaa aka kusisimuaa under physiological factors ...sasa apa ndo yote yanajaa apa kuachwa , kupoteza mtu mhimu na hapa niseme yote ya huzuni na furaha utayapata hapa ....naongea mengi lakin sio mbaya mm nshabugia kimanikia changu cha pilau swaaafiii na bhinamu yangu jana kapitishiwa acacia kuonekana ndoto ....
Yote kwa yote aya ma tears yanafanyika chini ya lacrimal gland na mwenzie accessories gland nikimaanisha Krause na wolfring gland .....ndo tunapata terminology ya LACRIMATION ...
Asante ila nawakumbusha tu ambao hamjanialika nikimanisha wenzangu waislamu bado miezi 5 tutajuana Xmas

MPE aganzaNakuombea kaka yangu umpate wa kufanana nae si unajua vene nakupenda

Asante Rafiki kipenz kwa Simulizi na UF
Maisha mazito mkuuSHERIA YA NDOA NA MAHARI No 13 ya mwaka 2017
Mahari itakuwa Tzs 700,000 na makato yafwatayo
Hajasoma - Tzs100,000
Sio bikira - Tzs 250,000
Anakuja na watoto - Tzs 80,000 × (idadi ya watoto)
Hawezi usafi - Tzs 80,000
Hawezi kupika - Tzs 50,000
Hana shughuli ya kufanya - Tzs 20,000
Mzembe - Tzs 50,000
Mlevi - Tzs 70,000
Amepiga mkorogo -Tzs 50,000
Makalio bandia - Tzs 50,000
Maziwa bandia - Tzs 50,000
Kama jumla ikiwa hasi (-) basi inabidi ulipwe kwa kuchukua mzigo wao..
Mwisho nimeamin Kweli sikukuu kipimo cha uchoyo hakuna hata alokuja pm kunialika
Jana mpka mkaidi kafaidi siku ya idd kasoro lee
Kipi kikuchekeshachoo
MorningMorning family
AmeeeeniiiAsante ee Mungu mwenye enzi kwa kutufikisha tena siku hii ya leo
Sifa,utukufu na enzi ni vyako daima
Wanafamilia natumaini mnaamka salama
Wale ambao wameamka na uchovu wa kuumwa basi Mungu akawape nafuu
Magazeti yanatuchanganya
Asante Mkuu kwa vichwa vya habari za magazeti ya leoView attachment 531821Sina la ziada kwa udhamini mnono wa Clkey
Nawatakieni siku njema
Mzee wetu wanamsumbua na nini ??
Aisee
Aisee leo ndio nakuona mrembo umepotelea wapiMorning family