Makapuku Forum

Makapuku Forum

ZABURI 100

1.Mfanyieni BWANA shangwe,dunia yote ;

2.Mtumikieni BWANA kwa furaha,Njoni mbele zake kwa kuimba.

3.Jueni kwamba BWANA ndiye MUNGU,ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake.Tu watu wake na kondoo wa malisho yake.

4.Ingieni malangoni mwake kwa kushukuru,Nyuani mwake kwa kusifu,Mshukuruni ,lihimidini jina lake,

5.Kwakuwa BWANA ndiye mwema ,Rehema zake ni za milele;Na uaminifu wake vizazi na vizazi.

BABA asante kutulinda mchana kutwa asante kwa upendo wako..tunaomba nyoosha mkono wako tuma malaika wako watuzingire usiku wa leo tulinde na hatari zote za mwili na roho.

Tunaomba DAMU YA YESU ITUFUNIKE

MLALE SALAMA USIKU WA LEO MBARIKIWE
 
UF .....
72d08b23dea2d647f84c0fa08312f9fd.jpg
 
Amen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom