binamu ujue me nimeshangaa ikabidi ninyamazeAsante sana mdau, afu unajua nilichanganya madesa nikaweka nyimbo ya mkono wa Eid badala ya wimbo wake unaitwa Loliwe 😱😱😱 yaani nashukuru wadau hawajaufungua kuusikiliza

Tutamuuliza tukienda kwake binamueeeeeh, dunia duara tena duara lenyewe la mviringo.
Nitafurahi ukiniambia umefurahishwa na nini, umesema iko siku. okay, ngoja nitulize bolu
Ubarikiwe sana mkuu Shululu lala salamaNawatakieni usiku mwema makapuku wote Mungu awalinde
binamu ujue me nimeshangaa ikabidi ninyamaze![]()
![]()
KweliTutamuuliza tukienda kwake binamu
Nilifungua nikakuta mkono wa Eid nikajua ndio tunamalizia Eid kwanza then ZAHARAbinamu ujue me nimeshangaa ikabidi ninyamaze![]()
![]()
Yes tuliza bolu tu,ila Mungu yupo nitakwambiaeeeeeh, dunia duara tena duara lenyewe la mviringo.
Nitafurahi ukiniambia umefurahishwa na nini, umesema iko siku. okay, ngoja nitulize bolu
Binamu umeona mama mchuchu alivyojibu anzisha zile story zako kigamboni siendiKweli
🙂🙂🙂🙂
Hahahah me nimefungua sauti ya babu mkono wa eid nikaachana nayo hapo hapo ikabidi nimpe binamu tu asanteNilifungua nikakuta mkono wa Eid nikajua ndio tunamalizia Eid kwanza then ZAHARA
Binamu umeona mama mchuchu alivyojibu anzisha zile story zako kigamboni siendi
Hahahah me nimefungua sauti ya babu mkono wa eid nikaachana nayo hapo hapo ikabidi nimpe binamu tu asante
Hili nalo ni tatizoMbona bongo 90% wana dini lakini wachawi tu mfano Wanyaki Jumapili wanajaa makanisani lakini kwa uchawi pia wapo
![]()
![]()
![]()
......
SingidaIdodomia !
Kiwanja kipi?
Nimeona upepo umekuja kwako binamu sasa nitibue...sianzishi zile story tena, yaani niamini kabisa sitaanzisha si umeona mwenyewe upepo umeanza kuja upande wangu
Ha hahahahaha, ukirejea tena kwenye hiyo page nisharekbisah, hizi bangi na sherehe hazijawahi kumuacha mtu salama

Mzigua yupi huyooo mpaka atumie zongo bhana.... Nikisema suu napata mume Mwarabu saivi

Umesha lalaNalala sasa hivi tuu
Aisee.... Kweli maajabu hayaishiUpoooo...ila kipindi hicho waganga hao walitikisa,wengi walijisalimisha,kuna wazee wawili mke na mume walikutwa na majembe 1000 na zaidi ,baada ya kunywa dawa ,walipoulizwa yanini wakasema wanalimisha watu usiku ,bibi mngine akalia sana kuna kidoli mfano wa ndege (aeroplane) ilichomwa moto alilia sanaaa kuulizwa why akasema anawaogopa wenzake wakija watamuuliza maana walichanga,shilingi laki saba...alilia mno after one week tulimzika