Makapuku Forum

Sawa madame...

Will miss you too
 
 
Shikamoo yao huko Indonesia.
Ila waafrika na Asia tumezidi jamani hiyo top 10 tumeitawala.
Mi binafsi siamini uchawi wala uganga
Dini yangu ni Upendo (sio mfuasi wa dini za mashariki ya kati za kiafrika wala Asia)
Na pia ni Antagonist kuhusu uwepo wa Mungu na Shetani
Na always huwa nashauri watu watende mema sababu we reap what we have sown...
Asante kwa kumi kubwa Bitoz na kati ya mabibo beach
 
Mbona unatoka baru bana..... Unajua tutakumiss sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…