Makapuku Forum

5/Uganda Mashabiki wa Thimbwa timu yenu siku na miaka ya karibuni imekuwa anafanya vibaya sababu mmejaza washirikina(Waganda) juzi tu mmemrudisha kikosini babu Okwi
Asilimia kubwa ya Waganda wanaamini ushirikina
Huko nchini Uganda kuna kesi kibao zinazohusiana na ushirikina mfano mauaji ya vikongwe, mambo ya misukule na juzijuzi tumeona eti Ivan Semwaga akizikwa na maburungutu ya pesa eti kafara
........
 
nyumba ya wageni kaenda kupumzishwa na mdogo wake mama ashura woiiiiii kigamboni siendi nendeni wenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…