Makapuku Forum

Kama ya kwangu [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Neno hilo hilo lipo:

Yeremia 4:1

"Kama ukitaka kurudi, Ee Israel asema BWANA , utanirudia mimi na kama ukitaka kuyaondoa machukizo yako, yasiwe mbele ya macho yangu, ndipo hutaondolewa."

Lakini pia Nabii Hosea

Hosea 12: 6

"Basi, mrudie Mungu wako ;shika fadhili na hukumu ; ukamngojee Mungu wako daima."

Kila siku neno la Mungu linatukumbusha kuwa tunapaswa kurudi kwake, tunapaswa kuwa karibu na uwepo wa Mungu.

Maisha ya mwanadamu yana changamoto nyingi sana ambazo zinamuweka mbali na Mungu..ila bado Mungu anatupenda na kutupa nafasi za kutubu..

Mbarikiwe makapuku wotee. Na mshike amri za Mungu.

Nawatakia Siku njema.
 
Wakuu nimependaa throw back japo kipindi kile nilikuwa napaogopa kapuku kinomaaaaa....id yangu ya mwanzo ila nilikuwa siitendei haki

Hahaha
Ulikuwa ka mie sio, nilikuwa nikifungua uzi nahisi wananiona wanipe vijembee
Mngepewa vijembe mkalime siku nzima
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…