BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lee siku ya leo ameamka nazo kasema hadi kesho
Alafu shunie akakubring back..!Sasa mie ndo nilimleta Shunie halafu nikaleft... Alikuwa hajui ka kuna uzi ka huu
Usijali dadaNasubiria
Walikuwa wanakula vitu vya moshi kwanza eeh? [emoji41]Mie id ni hii hii, na wakati uzi unaanza nilikuwepo.. Mie sio mtu wa shari kwa hiyo zile page za mwanzoni ukizisoma hata wewe utapata hofu na ndo kilichoniogopesha... Mie nilikuwa nawasoma kila leo ndo maana hiyo siku nikamwagizia Shunie humu...
Nlikuwa naogopa saaana reaction yenu kule mwanzoni kwa kweeli... Hamkuwa kama mlivyo saa hii
Sawa mkuu wa DId you know?Uzi mwanzoni ulivamiwa ndiyo maana wa mwanzoni wengi wapo huwezi kuwaona baada ya uzi kubadilika na kuwa sehemu ya peace
Mi niliamua kuwakatiza kwa kuwaambia waache kulalamika sasa ni mwendo wa kuchat na kupeana maarifa ndo wazee wa shari na wadandia uzi wote wakasepa mmoja baada ya mwingine
......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh nilikuwa na matongotongo
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
....
Shusha nukuu weweSawa mkuu wa DId you know?
Labda useme hivyo.. Lakini mwanzoni mlikuwa changamoto, nilikuwa nasoma huku nawaza mbona hawa watu wako na chuki hivyo... Halafu za wazi kabisaa Niliogopa kwa kweeli lakini saivi walaaUzi mwanzoni ulivamiwa si unajua bendera fuata upepo ndiyo maana wa mwanzoni wengi huwezi kuwaona baada ya uzi kubadilika na kuwa sehemu ya peace
Mi niliamua kuwakatiza kwa kuwaambia waache kulalamika sasa ni mwendo wa kuchat na kupeana maarifa ndo wazee wa shari na wadandia uzi wote wakasepa mmoja baada ya mwingine
......
NipoWoyooo!
Umeshaleft ama? [emoji28][emoji28]
Ameeen[emoji524] YOELI 2
12.Lakini hata sasa asema BWANA ,Nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote,na kwa kufunga ,na kwa kulia ,na kwa kuomboleza
[emoji523] Asante Baba kutuamsha salama.tunaomba toba kwa yote tuliyokosa kwa mawazo,maneno na matendo uturehemu twakusihi.
Bariki MAKAPUKU wote mahali hapa ,tupe moyobwa kukutegemea na kukuamini na kila tunapoenda kinyume na mapenzi yako ,kwa matakwa yetu wenyewe hima tukurudievkwa kuomba,kutubu,kuomboleza ili utusamehe na tujute tusirudie yale runayozoea kutenda kwa kukusudia au bahati mbaya,tufundishe kusamehe wenzetu kama vile unavyotusamehe,asante kwa siku ya leo endelea kutuweka karibu tukufundushana kwa upendo na kuchukuliana.
fariji wafiwa,wajane,yatima ponya wagonjwa watie moyo waliovunjika moyo waendelee kukutegemea.
Asante BABA maana kila siku unasikia na kujibu maombi yetu.
Katika jina la YESU Amen
SIKU NJEMA WAPENDWA [emoji7] [emoji7]
KiainaaAlafu shunie akakubring back..!
Ulifikiri Al--Shaabab wamevamia JFLabda useme hivyo.. Lakini mwanzoni mlikuwa changamoto, nilikuwa nasoma huku nawaza mbona hawa watu wako na chuki hivyo... Halafu za wazi kabisaa Niliogopa kwa kweeli lakini saivi walaa
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39][emoji3] lee na shunie.
Walikuwa motoooo, jazba mpaka nikaona hapa hapanifaiWalikuwa wanakula vitu vya moshi kwanza eeh? [emoji41]