Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,974
Kulala vipiii tena jamaanHahaha...! Naona anapenda mambo ya kulala lala..![]()
Kulala vipiii tena jamaanHahaha...! Naona anapenda mambo ya kulala lala..![]()
Baba D huwa hakeshiMuite lee tuu shem! Au nyagei
TukionanaKumbe leo tutapigana vikumbo chochoro nyingi
Hivyo eeehHahahaa! Weww kwanza utaitema chini tuu
Alifariki mwezi uliopitaKumbe Mzee Chifupa alikufa?
Utamkimbiza sasa weweHaina kilevi sema ina povu kama beer tu
Povu kama la beer ila haina kilevi ila ni mbayaaMmmmh
Hilo povu veepee
Poa tu, we Kesha naeAu niache nae tuu baby..
Si umesema sakayo shuni and vice versa
WeeeeehAu niache nae tuu baby..
Si umesema sakayo shuni and vice versa
Mpelekee fantaHahahaaaa!
Ngoja nimpelkee mirinda nyeusi
EwaaaaHahahaaaa!
Ngoja nimpelkee mirinda nyeusi
Ngoja nijeeee mke wanguWewe unapiga maji mie napiga miayo tuu hapa
Aunt, shwari lakini! Usione hujapata mwaliko ukasema sipo, sijakaribisha maana nimekaribishwa tu hapa yaani ni mwendo wa pilau acacia, nyama nyingi kuliko mchele, mchele robo umekaangwa nazi tatu.
Nitarudi tena maana hapa nishamaliza round ya kwanza.

Mbaya baltika haiweziUtamkimbiza sasa wewe
Ewaaaa![]()
![]()
![]()
![]()
halopesa atume
SitakiiiiiiPoa tu, we Kesha nae
Hapana aiseePovu kama la beer ila haina kilevi ila ni mbayaa
Ukisikia paaBitoz ntakuchapaa
Ss waislam hatushindi na njaa tunatekeleza 1 ya nguzo za uislam inayotutaka kufunga swaumu
Sasa wewe usemeje et"kushinda njaa mchana kutwa"![]()