Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
T jamaan unanifanya mie mtotoHhahaaaa! Nani kasema kitandani zinachezwa kwaito?
T jamaan unanifanya mie mtotoHhahaaaa! Nani kasema kitandani zinachezwa kwaito?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha nichekeShunie leo nitakutubua ujue..
Nikuletea baltika.. [emoji3]Kho Kho Kho Kho
Usipende ugomvi bhanaShunie leo nitakutubua ujue..
Tamaduni zao kama sio wa sayari[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hili ndio taifa ambalo sijawahi kulielewa
AkuuuUnanirithisha vingiii ujue
Em Muulize tuuuHhahaaaa! Nani kasema kitandani zinachezwa kwaito?
Jamaan [emoji134] nitabaki na nani mie leoAkuuu
Mie leo na sinzia ujue
ahahahhahEm Muulize tuuu
Hiyo baltika ni nini tena... Ni juice au... Naonaga makopo tuuNikuletea baltika.. [emoji3]
Redbull anakunywaNikuletea baltika.. [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo baltika ni nini tena... Ni juice au... Naonaga makopo tuu
HahahaJamaan [emoji134] nitabaki na nani mie leo
Em mwambie tuuRedbull anakunywa
Bwana nakesha basi peke yangu nitazunguka majukwaa yote nitakapoishia hapo hapoHahaha
Utakomaa
Hiyo avatar yako inanikumbusha maandishi kwenye T-shirt "a friend with weed is a friend indeed" samahani mkuu nilisahau salamu kwema?Ni mkubwa bhana anajua kabisa kuongea na zaid anajua leo ni sikukuu
Hahahh naona anakuletea mashkolo mageni baltika ni mbayaa ina taste ya appleEm mwambie tuu
Ananizingua afu sasa niko nakunywa maji ya vuguvugu..Usipende ugomvi bhana
Poa PoaBwana nakesha basi peke yangu nitazunguka majukwaa yote nitakapoishia hapo hapo