Makapuku Forum

9/Basant Inajulikana pia kama Vasanta...ni moja kati ya misimu sita ya machipuko(spring) huko nchini India
Ndiyo sherehe kubwa zaidi ya akina singasinga a.k.a bhana kuba au ukipenda waite tu Wahindi
Husherehekewa pia na Wahindi wa Pakistan
.......
 
Alikuwa na umri wa miaka 26 tu
Mengi yamesemwa kuhusu kifo chake ila kwangu naamini ni cha kawaida tu kama wana damu wengine Alikuwa ni mke wa mfanyabiashara Mohamed Mpakanjia{marehemu) na kujaaliwa mtoto mmoja
....
Mama ramanino

Aisee namuonea huruma mwanae maana alianza kufa mama yake akafata baba yake baadae akafa bibi yake na hapa majuzi tu akamalizia babu yake mzee chifupa


Ila yote ni kazi ya mungu tu huwaga haina makosa
 
8/Easter
Amefufuka mwokozi .....haleluyah !!
Pasaka huadhimishwa na Wakristo duniani kote ikiwa na baada ya mfungo wa Kwaresma
Pasaka ni sikukuu ya kufufuka kwa Yesu baada ya kufa msalabani siku tatu nyuma baada ya kuteswa kwa amri ya Pilato ambaye alikula dili au tuseme rushwa na akina Yuda Eskarioti a.k.a Yuda msaliti
Kupitia kuteswa kwake tumekombolewa
......
 
Minal faidhina mkuu madenge
 
7/Chinese New Year Huu ni mwaka mpya "feki" wa Wachina.....anajulikana pia kama Spring Festival
Husherehekewa kila siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza wa kalenda ya kichina
Yaani Februari 16 mwaka huu
Ila huwa ni kati ya Januari 21 hadi Februari 20
.........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…