Makapuku Forum

Makapuku Forum

d39505b8eb492f5fda8df4beea656b63.jpg

Sakayo
 
kwahiyo dude lishaamshwa tusubilie sasa kesho

Ha hahhahaha, am too old for shits my dear aunt.

Huwa naamini kila mmoja anaweza kukasirika na kunikasirikia anavyotaka na ninapokuwa sioni kama nimesababisha mikasiriko hiyo., huwa sisumbuki.

Kukaa kimmya na kupuuza ni sifa kubwa ya kuwa mature na wala si uoga au ujinga. Ni kupuuza mpuuzi
 
Mie binamu wala kuwa na Amani zote vyote unavyoongea wala haunikasirishi kabisaa najua yote ni kutaniana na kufurahishana nakupenda sana binamu natamani hata siku moja tuonane hujui tu binamu
 
ZABURI 20

1.Mwenyezi MUNGU akujibu uwapo taabuni;jina la MUNGU wa Yakobo likulinde.

2.Akupelekee msaada kutoka hekaluni mwake;kutegemeze kutoka mlima Siyoni.

3.Azikumbuke sadaka zako zote;azikubali dhabihu zako za kuteketezwa .

4.Akujalie unayotamani moyoni mwako,aifanikishe mipango yako yote .

5.Tutashangilia kwa ajili ya ushindi wako ;tutatatweka bendera tukilitukuza jina la Mungu wetu ,Mwenyezi -Mungu akutimizie maombi yako yote!

MUNGU BABA WA MBINGUNI asante kwa siku ya leo,tunaomba toba kwa yote tuliyokosea kwa mawazo,maneno,matendo uturehemu twakusihi usiku huu tunajikabidhi mikononi mwako ituzingire,damu takatifu ya Yesu Kristo itufunike na inene mema,malaika walinzi wazunguke nyumba zetu na vitanda vyetu watulinde na kutuangalia usiku kucha watuepushe na mabaya yote,hila na uovu wa shetani,na BABA tunaomba utuamshe asubuhi salama.

Asante BABA maana utatenda sawa na mapenzi yako katika jina la Yesu Kristo Amen.

USIKU MWEMA MBARIKIWE
 
Mie binamu wala kuwa na Amani zote vyote unavyoongea wala haunikasirishi kabisaa najua yote ni kutaniana na kufurahishana nakupenda sana binamu natamani hata siku moja tuonane hujui tu binamu

Najua aunt na kwa hilo nakupa heshima sana. Naamini katika jokes kama sehemu ya kumaliza siku na kuianza siku. Unajua kabisa nakupenda na siku moja, siku moja, tutaweza kutiana machoni na pedeshee ataangusha moja moja kiutaratibu siku hiyo hakuna makinikia wala majirani zangu wahamiaji haramu.
Utamkaribisha na BH basi😉
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom