Tunapofika kwenye suala la pesa ulinzi wa kisheria ni muhim, wengi wamelizwa kozi wanaingia kichwa kichwa, make sure mnaweka mambo kisheria.Poleni sana
Nadhani Issue za hela ziwe zinafanywa kwa makubaliano ya kisheria sio kwa kuaminiana hivi hivi tu
MimiNitakudanganya ila if possible search in!. Ila nimetoa kama 10hivi.
Asante sana ntalifanyia kazi hili...... Aione pia falcon mombasaTanga na zanzibari, sehemu nyingine sijui.
Halafu mashamba bei simple kinoma.
Mche mmoja wa karafuu 1000.
Hilo nalo nenoPolen sana..Hakika uaminifu umekuwa ZERO kabisa siku hizi ila Bitoz hoja hapa imekuja kwamba kwa wingi wetu hapa na umoja tuliouonyesha kama KUPUKU ni nin tunaweza anzisha ikiwa ni faida ingine kwetu mbali na hii ya kuwa pamoja na kujadili hoja hapa, Wazo lako tafadhali tupo kama Prezdaa CC youngblood
Sawa kabisa fake pastorTunapofika kwenye suala la pesa ulinzi wa kisheria ni muhim, wengi wamelizwa kozi wanaingia kichwa kichwa, make sure mnaweka mambo kisheria.
Kuungana hatuwezi kukwepa kwa ajili ya kufanya mambo makubwa bandugu
Poa mkuu.Asante sana ntalifanyia kazi hili...... Aione pia falcon mombasa
Kwa leo sio fake, nimevaa uhalisia na niko siriazi tafadhaliSawa kabisa fake pastor
Mkuu ni kweli kabisa ila watu wanaweza kupata hata fursa ya kujuana wanaoishi mkoa mmoja....Na kuanzisha jambo lolote lenye manufaa makubwa...Labda chama cha siasa huko ndiko kidogo kuna uaminifu. Kwenye hela
Nitaambatanisha ya mwaka kabisaAndika barua ya maombi na uambatanishe your bank statement kwa miezi 6 iliyopita kisha uilete hapa ili niweze kufikiria ombi lako
Wakuu tuendelee kutafuna mawazo then tutameza baadae tukipata mwafakaHilo nalo neno
Kwanza tusione aibu kusema taaluma zetu vilvile ht ambao "sio wasomi" wasijisikie vibaya sababu tunahitaji mawazo yako
Mimi siwezi kusema kifanyike kitu but ISSUE YA PESA tunaweza kuchukua mkopo au kuomba sehemu AID na tukafanikiwa
Ni wazo tu
.....................
Bila kusahau hati yako ya kusafiria ili nione umeshatembea nchi ngapi dunianiNitaambatanisha ya mwaka kabisa
Mkuu nakuelewa sana.Tunapofika kwenye suala la pesa ulinzi wa kisheria ni muhim, wengi wamelizwa kozi wanaingia kichwa kichwa, make sure mnaweka mambo kisheria.
Kuungana hatuwezi kukwepa kwa ajili ya kufanya mambo makubwa bandugu
Kabisa mkuu youngblood weka kwenye list na hii pia..Na ishu ikianza kuleta mwanga watu watavua fake ID naamin hilo .Hilo nalo neno
Kwanza tusione aibu kusema taaluma zetu vilvile ht ambao "sio wasomi" wasijisikie vibaya sababu tunahitaji mawazo yako
Mimi siwezi kusema kifanyike kitu but ISSUE YA PESA tunaweza kuchukua mkopo au kuomba sehemu AID na tukafanikiwa
Ni wazo tu
.....................
Usijali. Nitaambatanisha kila kitu.kingine bibieBila kusahau hati yako ya kusafiria ili nione umeshatembea nchi ngapi duniani
Kweli mkuu taaluma isiwe chanzo cha kujitenga na wengine.Hilo nalo neno
Kwanza tusione aibu kusema taaluma zetu vilvile ht ambao "sio wasomi" wasijisikie vibaya sababu tunahitaji mawazo yako
Mimi siwezi kusema kifanyike kitu but ISSUE YA PESA tunaweza kuchukua mkopo au kuomba sehemu AID na tukafanikiwa
Ni wazo tu
.....................
Siafiki kuchangishana pesaWakuu tuendelee kutafuna mawazo then tutameza baadae tukipata mwafaka
Marhabaaa mwanangu, dawa mmepata? vidole na macho yanauma. Nimechoka mimi, nimechoka mimi nimechoka sana ndiyo maana naomba wanangu/wajukuu mnitafutie mbadala wa JF. Mod ila msinipe ban sababu nitajinyonga. Niache ila nitafutie dawa labda umeme ukatwe kila baada ya masaa mawili esp. wakati huu wa mvua utaenda wapi nasisi wazee tunasubiri kabaridi na kamoto pembeni.Jana nilitoa ahadi.
Shikamooo bibi.
Roger that.Kabisa mkuu youngblood weka kwenye list na hii pia..Na ishu ikianza kuleta mwanga watu watavua fake ID naamin hilo .