eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Sasa kwa nini wanatufanyia hivyo![]()
Angalieni 44 LIKES
Sisi mwisho 5 LIKES
![]()
![]()
![]()
![]()
..................
Sasa kwa nini wanatufanyia hivyo![]()
Angalieni 44 LIKES
Sisi mwisho 5 LIKES
![]()
![]()
![]()
![]()
..................
Kabisa mkuu namimi pia huwa siogopi kujaribu..Kwa kitu ninacho amin kikienda kama kilivyo napasua huwa naruka nazo...Mimi ni mtu wa kujilipua sana kwa fursa mkuu, najua shida kubwa tz ni uaminifu/kuaminiana lakini najua pamoja na hayo twaweza kufanya kitu ambacho hata hakitazuia chenye faida na hakikuzuii kuendelea na majukumu ya kila siku
KilimoKwa upande wangu ishu ambayo naiaminia ni kilimo cha KARAFUU.
Mfano mti mmoja wa karafuu unachukua 5yrs then unaanza kuvuna,mti mmoja wa karafuu unaweza kutoa mpaka kilo 200 kutokana na ukubwa wake.
Bei ya kilo moja ya karafuu ni Tsh 15000 hadi 20000 hivyo ukiwa na shamba la miti kama 100 unauhakika wa kupata kama 1500000 au zaidi kwa msimu.
Hii biashara inalipa sana.....

Usiogope mkuu.Nipo nawasoma wadau, shusheni nondo
Hahaha ungabu bana na wenzake sio watu wazuri kabisa![]()
Nimetest kwa Ngedere Ungabu LIKE YA 7 imekubali zen nimeifuta zimebaki 6
![]()
![]()
![]()
![]()
..............
Kabisa mkuu weka kwenye list ya mapendekezo then tutakuja discuss 1 baada ya ingine hadi kieleweke...Hii imekaa poa kama ukipata watu waaminifu.
sijakuelewa dada, unaweza kuandika tena kama hutojali?Dawa yangu sijatumiwa ya JF myligne bado nipo ila nimegundua watu wa hii forum wote mpo kwenye daladala au bodaboda au mnaendesha kwenda nyumbani. Kimyaa. Tumebaki mabibi tu na mibabu tunakodolea JF kama mazombee.
Usiwaze mkuu.Kabisa mkuu weka kwenye list ya mapendekezo then tutakuja discuss 1 baada ya ingine hadi kieleweke...
Mkuu leo umeshatoa ngapi?? Tuanzie hapo kwanzaWadau mbona like zimeanza kupungua?
Jana nilitoa ahadi.Dawa yangu sijatumiwa ya JF myligne bado nipo ila nimegundua watu wa hii forum wote mpo kwenye daladala au bodaboda au mnaendesha kwenda nyumbani. Kimyaa. Tumebaki mabibi tu na mibabu tunakodolea JF kama mazombee.
Hi baby its cold, cam this way --->
hata wewe ??Karafuu inakubali kulimwa maeneo gani mkuu??Kwa upande wangu ishu ambayo naiaminia ni kilimo cha KARAFUU.
Mfano mti mmoja wa karafuu unachukua 5yrs then unaanza kuvuna,mti mmoja wa karafuu unaweza kutoa mpaka kilo 200 kutokana na ukubwa wake.
Bei ya kilo moja ya karafuu ni Tsh 15000 hadi 20000 hivyo ukiwa na shamba la miti kama 100 unauhakika wa kupata kama 1500000 au zaidi kwa msimu.
Hii biashara inalipa sana.....
Naunga mkono pendekezo hili pia na liweke kwenye list maana wewe ndiyo Katibu kwenye kikao hiki na mwenyekiti ni jambilo .Then utakuja kutuwekea mawazo yote mezan....tuite watu wengi kwa kadiri tuwezavyo waje wachangie tuone nini kitatokea mkuu...Kwa upande wangu ishu ambayo naiaminia ni kilimo cha KARAFUU.
Mfano mti mmoja wa karafuu unachukua 5yrs then unaanza kuvuna,mti mmoja wa karafuu unaweza kutoa mpaka kilo 200 kutokana na ukubwa wake.
Bei ya kilo moja ya karafuu ni Tsh 15000 hadi 20000 hivyo ukiwa na shamba la miti kama 100 unauhakika wa kupata kama 1500000 au zaidi kwa msimu.
Hii biashara inalipa sana.....
Comrade hata ile dhana ya makapuku forum inaondoka sasa, ukifuatilia utaona kuna makapuku G3 HT na wale 2G G ukiwa hii ya pili like upati maybe ukipata basi umewakuna.Labda zimesombwa na haya mafuriko.
Hata mimi nini?![]()
![]()
![]()
![]()
hata wewe ??
Hilo baridi mbona limezua mambo
Crazy you![]()
Kwa Invisible nako swaaf nimejaribu kuhonga ya 6 imekubali zen nimeifuta
![]()
![]()
![]()
![]()
...............

Tanga na zanzibari, sehemu nyingine sijui.Karafuu inakubali kulimwa maeneo gani mkuu??
Cc falcon mombasa
Mkuu leo umeshatoa ngapi?? Tuanzie hapo kwanza