Makapuku Forum

My My Nakuaminia sana ebu tupia idea yako na wewe unajua tupo wengi sana Mumy kiasi kwamba tukisema hata tucheze kibati yaani kila siku jioni tunamrushia mtu mmoja elfu 1 tu..Na wakipatikana watu waaminifu ni mtaji tosha kabisa wakulima matikiti..
Yah uko right Bby lakin we should look forward without forgetting positive /negative za ideas zetu mwsho wa siku tusijelizana....

Back to your idea serious siwez kumuamin mtu nsiyemfaham kwenye swala LA pesa... Hiyo kwangu ni big NO

Sorry but ndio msimamo wangu...
 
Uko sawa sana Mumy kwani uaminifu siku hizi umekuwa ni changamoto sana japo nadhani kupitia dhana hiyo basi na watu wakipatikana wa kutosha wanaweza anzisha kitu hata kwa wale watu wanaoishi mkoa mmoja ama mikoa iliyo karibu mfano watu wanaishi Arusha na Mosh kwa pamoja wanaweza anzisha kitu then ikawa ni walikutana kupitia KAPUKU's Forum mpaka wakaweza anzisha ishu inayoonekana....
 
Hili wazo pia ni zuri sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…