Makapuku Forum

Well ni kweli usemacho,

Aamyn Mungu awabariki waliokuja na wqzo hili la kuanzisha hili jukwaa

Sometimes hua nakuaga offline na hua siachi kuzurura hapa

Naipenda segment ya historia

Kuhusu mpenzi hilo hata sina usemi Mungu atusimamie milele
Ni kweli ile ndo segment # 1 niligundua mapema ndiyo maana nikaanza kujazia nyama kuliko kuweka tu picha
Dikteta kuandika kitu anachokijua siyo kukopi pekee
Jamaa yupo vizuri
.......
 
Fafanua name calling kuepusha mabalaa na kukwaza watu pia na wengine waelewe
.......
 
Fafanua name calling kuepusha mabalaa na kukwaza watu pia na wengine waelewe
.......


Name calling ni kutukanana matusi na lugha nyingine za kukera! Na hasa pale mnapokuwa hamtaniani.

Mfano, mimi hupenda kuandika mhamiaji haramu, kama nitamtaja memba wa hapa kama mhamiaji haramu ilhali inajulikana kabisa hatuna utani wa namna yoyote basi hii ni tusi au lugha ya kukera.

Napenda utanilakini si wa kukwazana na kama hatutaniani basi siwezi kufanya utani wa kukera hata sikumoja. Ikitokea nitaomba radhi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…