Wewe ikitokea labda nina mikwaruzo na baba d huwa nakuona aisee huwa unaongea ya moyoni hutaki kuona me na baba d tupo tofauti sio kama wengine jamaan wanafurahi kuwa nimeachwa sijui tumeachana ndio maisha lakini unajua jinsi ya kuishi na kila aina ya mtu
Na mara nyingi upo upande wangu sio siri sikujui shemela lakini unaonekana una roho nzuri sababu ya kukuona hapa jukwaani pamoja na kuwa sijui unafananaje