Makapuku Forum

2013 - Waziri Mkuu wa zamani wa Italy, Silvio Berlusconi anakutwa na hatia ya kutumia vibaya madaraka yake na vilevile kutembea na watoto wadogo ( makahaba ) hivyo anahukumiwa kwenda jela miaka 7.

Pia aliwahi kumiliki klabu ya Ac Milan.
Yaani haya mambo yanafanywa na wengi lakini ni nani amfunge paka kengele? Ukweli wakifuatiliwa hakuna atakayebaki salama
 
Wapumzike kwa amani marehemu wote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…