Waafrika ndiyo tulivyoAfrika katika ubora wake wa kipekee!
Mbona Che Guevara aliongoza mapinduzi ya Cuba na Kiongozi akawa Fidel Castro lakini mpaka leo Che Guevara ni shujaa wa Taifa hilo japo ni raia wa Argentina.
Tumpe credit zake Okello.
Hawajuagi ujue pale unapotoa unazidi barikiwaHahahaaa mpenzi wangu hiki choyo honey wageni huleta barka mpenzi tutakuywa maji tumkirimu mgeni honey
Ha ha hakheeee baba kasema na baba ndio mwenye sauti
[emoji120]Amyn maa tubarikiwe sote
Hahahaha kitandani lawama pia
Kabisa mamaHawajuagi ujue pale unapotoa unazidi barikiwa
Ndo utashangaa unakuja afu inapigwa dua hadi jioni... no msosi wala nini[emoji14]Kama hamtualikiii tufanyejeee
Labda kitumbo ha ha haaa basmati utatsakama bure[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basmat unavimba lakini jamaan
Atakunywa maji atabaruk kidogoNdo utashangaa unakuja afu inapigwa dua hadi jioni... no msosi wala nini[emoji14]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda kitumbo ha ha haaa basmati utatsakama bure
Ha ha ha mwisho tule huku tunapigana mangumi ya mgongo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
1982 - Kevin Nolan anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Bolton, Newcastle na West Ham.
Katika timu zote hizo alizocheza katika Ligi Kuu amekuwa kepteni wa hizo timu huku akiwa na kocha wake Sam Allardyce " Big Sam " katika timu zote hapo juu.
Kwasasa anacheza soka katika madaraja ya chini England.
Ole wako usitoe mualiko sasa..Eid mubaraq
Eeeh..Daa......usiseme hivo mkuu maana sijamaliza chuo bado unanitisha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amazing!Hitachi Seaside Park, Japan
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Poa kabisa husna muba mpendwa wa Obe
Tutaweka amila kabisaMaradona ana kiti maalum kabisa katika Uwanja wa Boca, La Bombonera.
Duh unaniogopesha sasaOle wako usitoe mualiko sasa..