Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji15] [emoji15]Hahahaha nakutegemea wewe ujue
[emoji15] [emoji15]Hahahaha nakutegemea wewe ujue
Ooooooh Apoo sawaaaHata hiyo inatosha mkuu, uchumi mgumu sana kipindi hiki! Si unajua hatutakiwi kufanya mambo yalotuzidi uwezo!!
Aiseeee hii kali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] atakuwa mama wawilii
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Alafu yanalalamikaa hayana nguvu ....nyambafuuu zaooo
Na kukomazwaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu bado wanakomaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na kukomazwaaa
Utaonaaa mama[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daa......usiseme hivo mkuu maana sijamaliza chuo bado unanitisha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Limenikumbusha mshikaji wangu nimesoma nae!
Alifariki tukiwa chuo! Alikuwa anajiita mkushi..
Nendaaa tuuMh basi siendi
r.I.p wajinaLimenikumbusha mshikaji wangu nimesoma nae!
Alifariki tukiwa chuo! Alikuwa anajiita mkushi..
Hah ha ha ha ha ha ha ha ha ha umeniwezaaaHahahaha nakutegemea wewe ujue
Yaan kama nakuona halaf ujue dec bday yangu woiiiii kibibi gagula mieUtaonaaa mama
Hapana siendiNendaaa tuu
Make simu kashanyanganywaaaAiseeee hii kali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Bailly kibokoHah ha ha ha ha ha ha ha ha ha umeniwezaaa
Kwa upande wangu nitasherekea nikiwa Mwanza, baada ya swala ya Eid nitatembelea wagonjwa hospitalini kuwapa moyo pale Bugando na Seketoure.....Toa taarifa kamili mkuu ...mambo ya msingi hayo usilete utaniii ...
Mpango mzima mwanza kivip
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daa......usiseme hivo mkuu maana sijamaliza chuo bado unanitisha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Madame S bora umekuja eid ni lini kwaniEid mubaraq
AiseeMake simu kashanyanganywaaa