Babu kasoma huu uzi kazila na lunch. Nimemwambia hawa watoto watundu tu halafu hawajui hata mapengo yangu. Nadhani labda atakubali dinner. Msimkasilishe tena. Mwanangu katavi yumo humu anawasoma akiwatumia bomu kwenye barua na hivi wanaanza kuleta nyumba kwa nyumba mtajiju.